Thursday, January 12, 2012

Hashimoto Masataka,rafiki yangu toka Japan,alikuwa hapa nchini TZ na nimefanyanae kazi kwa muda wa miaka miwili,ni mtu mzuri sana.Sasa anaondoka kurudi kwao Japan.Safari njema Hashimoto,karimu tena  TZutakapopata nafasi.

No comments:

Post a Comment