Aliyekuwa mtunzi maarufu wa nyimbo za kwaya nchini Tanzania Bw.Victor Mrishiwa aliyeferiki mwishoni mwa wiki iliyopita, amezikwa jana huko kiluvya.
Ibada ya mazishi ilifanyika nyumbani kwake Kiluvya.Mazishi hayo yalihudhuriwa na watu kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya jimbo kuu la Dar-es-salaam.
No comments:
Post a Comment