Thursday, October 27, 2011

MATUKIO - MAZISHI YA VICTOR MURISHIWA

Wanakwaya wa kwaya ya shirikisho la kwaya jimbo kuu la Dar -es - salaam.'

1 comment:

  1. Kwa hakika nilopokea habari za kifo cha Marehemu Bw. Mrishiwa kwa mshituko mkuu mno hapa nchini Kenya. Nyimbo zake ni maarufu sana hapa na tumempoteza Mkatoliki shupavu sana. Habari za kifo chake zilienea kote nchini jinsi moto ueneavyo kichakani kilichokauka nyasi. Mungu amuweke mahali pema hadi tutakapokutana tena. Nawapongeza Wanakwaya wote Tanzania kwa ushirikiano mlioonyesha na Mungu awabariki.

    John Githuka
    Jimbo Kuu Katoliki - Mombasa
    Kenya

    ReplyDelete