Monday, October 10, 2011

DR. MWAKYEMBE AENDA INDIA KWA MATIBABU

Rais Jakaya Kiwete alipokwenda kumjulia hali naibu waziri wa ujenzi Dr.Harison Mwakyembe  nyumbani kwake Kunduchi Mtongani.Dr Mwakyembe amesafirishwa jana kwenda India kwa uchunguzi zaidi wa kiafya.

No comments:

Post a Comment