Aliyekuwa mtunzi maarufu wa nyimbo za kwaya nchini Tanzania Bw.Victor Mrishiwa aliyeferiki mwishoni mwa wiki iliyopita, amezikwa jana huko kiluvya.
Ibada ya mazishi ilifanyika nyumbani kwake Kiluvya.Mazishi hayo yalihudhuriwa na watu kutoka sehemu mbalimbali ndani na nje ya jimbo kuu la Dar-es-salaam.
Thursday, October 27, 2011
Wednesday, October 26, 2011
Wednesday, October 19, 2011
Friday, October 14, 2011
WANACHUO WAANDAMANA MBEYA
Wanachuo wa chuo kikuu cha Teofilo Kisanji cha Mbeya wakiandamana kuelekea katika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Mbeya ili kupeleka malalamiko yao kuhusiana na suala la mikopo ya wanafunzi.
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,1922-1999
Ni miaka kumi na mbili tangu mwalimu atutoke duniani.Bado tunamkumbuka mwalimu kwa mambo mengi aliyoyafanya wakati wa uhai wake,akiwa rais na hata baada ya kustaafu.Mwalimu hayupo,lakini busara na hekima zake bado zipo.Watanzania tunamkumbuka kwa mengi na hasa ushauri na maelekezo yake mbalimbali hasa juu ya maendeleo ya nchi yetu.Leo hakuna asiyekubali kuwa mwalimu alikuwa ni mtu wa aina ya pekee ambaye mwenyezi mungu alituzawadia.Mungu ailaze roho ya mwalimu mahala pema peponi.RAHA YA MILELE UMPE,NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE APUMZIKE SALAMA , AMINA

Monday, October 10, 2011
GARI LA ZAMANI ZAIDI DUNIANI
Gari la zamani zaidi duniani limeuzwa katika mnada hivi karibuni kwa gharama ya pauni 3m.Gari hilo lina umri wa miaka 224
MLIMA KILIMANYARO
Picha hii nimeipiga nikiwa Moshi mjini siku ya jumamosi tar.8/10/2011 baada ya kuuvizia kwa siku mbili
DR. MWAKYEMBE AENDA INDIA KWA MATIBABU
Rais Jakaya Kiwete alipokwenda kumjulia hali naibu waziri wa ujenzi Dr.Harison Mwakyembe nyumbani kwake Kunduchi Mtongani.Dr Mwakyembe amesafirishwa jana kwenda India kwa uchunguzi zaidi wa kiafya.
Wednesday, October 5, 2011
NJAA SOMALIA
Msafara wa wakimbizi wanaokimbia njaa nchini Somalia,wakielekea kuvuka mpaka na kuingia nchini Kenya.
KARIBUNI NYOTE
Kutokana na matatizo ya kiufundi nimelazimika kuiondoa blog yangu ya kwanza katika mtandao.Samahani kwa usumbufu utakaojitokeza.Nategemea blog hii itakuwa na mambo mengi ya kijamii zaidi .
Subscribe to:
Posts (Atom)