Ng'ombe wakiwa katika eneo la machinjio ya Kimara jijini Dar -es - salaam.Kitoweo cha nyama ya ng'ombe hupendwa sana na watanzania wengi hasa siku za sikukuu.Hata hivyo bei ya kitoweo hicho inapanda kwa kasi ya ajabu.Wiki iliyopita wakati wa krismass baadhi ya maeneo ya jiji iliuuzwa kuanzia shilingi 9500 mpaka 10,000 si hatari hiyo? Au tuanze kula pilau ya mchicha?
No comments:
Post a Comment