Monday, April 15, 2013

PAROKIA YA MAKOKA YAPATA UONGOZI MPYA

Mkutano wa halmashauri ya walea parokia ya Makoka jimbo kuu la Dar-es-salam jumapili tar 14/04/2013 ilifanya uchaguzi wa uongozi wa parokia hiyo kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.Waliochaguliwa ni John Komba(mwenyekiti),Albert Supa(Makamu mwenyekiti),Deogratius Mwalutanile(katibu),Flora Abdul(Makamu katibu),Alex Mvile(muweka hazina)

No comments:

Post a Comment