Friday, November 22, 2013

Wednesday, November 13, 2013

Rais mstaafu Benjamin Mkapa akipokea zawadi ya msalaba toka kwa Muadhama Polycarp Cardinal Pengo,kama zawadi wa rais mstaafu kutimiza miaka 75
   

     Bwana Valerian Ngakuka,alijeruhiwa na majambazi kwa kupigwa risasi tatu kichwani,siku
ya tarehe 7/10/2013.Baada ya jitihada kubwa zilizofanywa na madaktari wa kitengo cha mifupa cha
Muhimbili(MOI),hivi sasa hali yake ni nzuri na ameruhusiwa kurudi nyumbani.

Monday, July 15, 2013

Mahujaji kutoka Tanzania wakitembelea maeneo mbalimbali ya kihistoria huko nchini Israeli

Wednesday, April 17, 2013

BI KIDUDE AFARIKI DUNIA.

 Muimbaji maarufu hapa nchini,Kidude binti Baraka,maarufu kama Bi-Kidude,amefariki leo.Taarifa zaidi juu ya kifo chake mtazipata hapo baadae.Mungu amlaze mahali pema peponi-amen.

Tuesday, April 16, 2013

Uongozi wa halmashauri ya walei parokia ya Makoka,toka kushoto-Deogratius Mwalutanile(katibu),Albert Supa(makamu mwenyekiti),John Komba(mwenyekiti)Fr.Evarist Tarimo(paroko msaidizi)na Flora Abdu(katibu msaidizi).

Monday, April 15, 2013

PAROKIA YA MAKOKA YAPATA UONGOZI MPYA

Mkutano wa halmashauri ya walea parokia ya Makoka jimbo kuu la Dar-es-salam jumapili tar 14/04/2013 ilifanya uchaguzi wa uongozi wa parokia hiyo kwa kipindi cha miaka mitatu ijayo.Waliochaguliwa ni John Komba(mwenyekiti),Albert Supa(Makamu mwenyekiti),Deogratius Mwalutanile(katibu),Flora Abdul(Makamu katibu),Alex Mvile(muweka hazina)