Friday, December 30, 2011
KITOWEO CHA MWAKA MPYA
Ng'ombe wakiwa katika eneo la machinjio ya Kimara jijini Dar -es - salaam.Kitoweo cha nyama ya ng'ombe hupendwa sana na watanzania wengi hasa siku za sikukuu.Hata hivyo bei ya kitoweo hicho inapanda kwa kasi ya ajabu.Wiki iliyopita wakati wa krismass baadhi ya maeneo ya jiji iliuuzwa kuanzia shilingi 9500 mpaka 10,000 si hatari hiyo? Au tuanze kula pilau ya mchicha?
CHUO CHA UFUND I- IFAKARA
Mkuu wa chuo cha ufundi Ifakara Bw.Doka
Chuo cha ufundi cha Ifakara ni chuo kinachomilikiwa na kanisa katoliki jimbo la Mahenge.Kipo Ifakara jirani kabisa na kanisa la Mt.Andrea .Ni watu wengi waliopitia katika chuo hiki katika mafunzo ya fani mbalimbali za ufundi.

Thursday, December 29, 2011
Subscribe to:
Posts (Atom)