ATOA MKE WAKE KULIPIA DENI LA SH.17,000
Bwana mmoja raia wa Kenya anayefahamika kwa jina la Francis Kevoga ,amemtoa mkewe anayeitwa Joyce kwa kijana mmoja anayeitwa Patrik Andambwa baada ya kushindwa kulipa deni hilo alilokuwa akidaiwa na Bwana andambwa.Tukio hilo limetokea katika kijiji kimoja jirani na mji wa Kakamega.