Bwana Valerian Ngakuka,alijeruhiwa na majambazi kwa kupigwa risasi tatu kichwani,siku
ya tarehe 7/10/2013.Baada ya jitihada kubwa zilizofanywa na madaktari wa kitengo cha mifupa cha
Muhimbili(MOI),hivi sasa hali yake ni nzuri na ameruhusiwa kurudi nyumbani.