Monday, September 24, 2012

Bw. Anthon Uhwelo jumamosi ya tar.22/09/2012 aliamua kuachana na ukapela,na kufunga ndoa na bi.Sixtamaria Kuweta. Ndoa ilifungwa katika kanisa la Mt.Peter Clavery- Mbezi luis na sherehe zilifanyika katika ukumbi wa Green view - Msewe.

   Zifuatazo ni baadhi ya picha za kuonesha matukio hayo.

Mama Anthon katika masuala ya msosi,suti unaiona hiyo? imetulia.

Ringo huko unashangaa nini? mtazame mkeo,utaibiwa.


Kwani hamjui kuwa huyu ni mke wangu?ala?


Dogo na mpambe wake wanapokelewa ukumbini na vifaa vyao,na wanavishwa makoti.

Tony na mpambe wake wanaingia
Hao wanaingia

Bi.harusi na mpambe wake wakisubiri muda wa kuingia ukumbini
Pozi la bi.harusi ndani ya BMW
Mehboob
Sangula imekolea kwelikweli
Mambo ya sangula hayo.
Mzee Kuweta na Mama Kueweta


Mjuba
Mr. Mehboob & family



Mama Anthon ( kushoto ) Mama Ngakuka na Mzee B.B.Ngakuka ( mwenye suti ) wakifuatilia matukio kwenye sherehe,nyuma ya mzee B.B ni Frowin Ngakuka