Sixbet Mujwahuzi-katibu wa shirikisho la kwaya jimbo kuu la Dar-es-salaam.
Maandamano ya maaskofu
Kwaya ya shirikisho
Ligogoderi(Mlungu ndokota)
Wednesday, March 21, 2012
Utoto mtakatifu
Askofu wa jimbo la Ifakara mhashamu Salutarius Libena akimkumunisha muumini
Askofu wa jimbo la Ifakara mhashamu Salutarius Libena akimkomunisha muumini.
Jaji mstaafu-mzee Mwesiumo na mke wake wakifuatilia matukio.
Maandsmano maaskofu wakiingia katika viwanja kwaajili ya kuanza kwa ibada.
Askofu Libena akiwasili katika viwanja vya Papa Yohani Paulo wa pili.Anasindikizwa na Askofu Eusebius Nzigirwa.
Mzee Egidius Liampawe mjumbe wa kamati ya maandalizi ya sherehe
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Bw. Joel Bendera akimkaribisha rais mstaafu Alli Hassan Mwinyi kuwasalimia waamini wa Ifakara.
Balozi wa baba mtakatifu akisoma hati ya kutoka kwa baba mtakatifu ya kumteua Askofu Libena kuwa askofu wa kwanza wa jimbo jipya la Ifakara.
Waziri mkuu mstaafu Edward Ngoyai Lowassa akitoa salamu kwa mwaamini wa jimbo jipya la Ifakara.
Rais mstaafu Alli Hassan Mwinyi Akitoa salamu kwa niaba ya serikali,mara baada ya kumalizika misa ya kuzindua rasmi jimbo jipya la Ifakara na kumsimika askifu Salutalius Libena kuwa askofu wa kwanza wa jimbo la Ifakara.
Waumini wa kutoka majimbo mbalimbali ya Tanzania na wale wa jimbo jipya la Ifakara wakifuatilia matukio yalivyokuwa yakiendelea katika viwanja vya ukumbi wa papa Yohani Paulo wa pili.