Bw. Anthon Uhwelo jumamosi ya tar.22/09/2012 aliamua kuachana na ukapela,na kufunga ndoa na bi.Sixtamaria Kuweta. Ndoa ilifungwa katika kanisa la Mt.Peter Clavery- Mbezi luis na sherehe zilifanyika katika ukumbi wa Green view - Msewe.
Zifuatazo ni baadhi ya picha za kuonesha matukio hayo.