Wednesday, June 11, 2014

Bado nipo katika mikakati ya kuweka habari na picha kila siku bila kikomo,kaa mkao wa kula.

Sunday, March 2, 2014

ATOA MKE WAKE KULIPIA DENI LA SH.17,000

   Bwana mmoja raia wa Kenya anayefahamika kwa jina la Francis Kevoga ,amemtoa mkewe anayeitwa Joyce kwa kijana mmoja anayeitwa Patrik Andambwa baada ya kushindwa kulipa deni hilo alilokuwa akidaiwa na Bwana andambwa.Tukio hilo limetokea katika kijiji kimoja jirani na mji wa Kakamega.
Mfungo wa kwaresima utaanza jumatano wiki hii,nawatakia kwaresima njema.

Friday, November 22, 2013

Wednesday, November 13, 2013

Rais mstaafu Benjamin Mkapa akipokea zawadi ya msalaba toka kwa Muadhama Polycarp Cardinal Pengo,kama zawadi wa rais mstaafu kutimiza miaka 75